MWENGE WA UHURU KUKAGUA HIFADHI YA MAZINGIRA - CHANZO CHA MAJI KITWIRU MKOANI IRINGA
Imewekwa: 10 Oct, 2024
MWENGE WA UHURU KUKAGUA HIFADHI YA MAZINGIRA - CHANZO CHA MAJI KITWIRU MKOANI IRINGA

Akikagua eneo la hifadhi ya Mazingira katika chanzo cha maji Kitwiru kilichopo katika manispaa ya Iringa, kiongozi wa mbio za mwenge wa uhuru kitaifa, Godfrey Eliakimu Mnzava amepongeza maendelea ya chanzo hicho katika kutoa huduma ya maji safi katika manispaa ya Iringa na pia kutoa fursa kwa kikundi cha mazingira cha Ukanda wa Kijani kufanya shughuli za kufuga nyuki ili kuendelea kulinda chanzo hicho na kurudisha uoto wa asili ili kuulinda msitu huo.