Miradi iliyokamilika

Tumetekeleza miradi ifuatayo;

  1. Ujenzi wa Bwawa la Masaka. Bwawa hili linapatikana katika Kijiji cha Masaka, Wilayani IrinTazama picha za Bwawa la Itamboleo hapaga. Tazama picha za Bwawa la Masaka hapa
  2. Ujenzi wa Bwawa la Manda. Bwawa hili linapatikana katika Kijiji cha Manda, Wilayani Chamwino. Tazama picha za Bwawa la Manda hapa
  3. Ujenzi wa Bwawa la Mtamba. Bwawa hili linapatikana katika Kijiji cha Mtamba, Wilayani Mpwapwa
  4. Ujenzi wa Bwawa la Itamboleo. Bwawa hili linapatikana katika Kijiji cha Itamboleo, Wilayani Mbarali. Tazama picha za Bwawa la Itamboleo hapa
  5. Ufukuaji wa Mto Kioga na Mto Mambi. Tazama picha hapa