Tamko la Sera ya Ubora

Sisi, wafanyakazi wa Bodi ya Maji ya Bonde la Rufiji, tumejidhatiti kutoa huduma bora za kidhidrojia zinazokidhi au kuzidi matarajio ya wateja na zinazozingatia mahitaji yaliyokubaliwa kitaifa na kimataifa kupitia uboreshaji endelevu wa michakato yetu.