Maadili Yetu

Hizi ni kanuni na miongozo ya kila siku ambayo wafanyakazi na wanachama wa Bonde wataizingatia ili kufikia dhamira na dira iliyokubaliwa ya Bonde. Yafuatayo ni maadili ya msingi ya Bonde;

  1.  Ushirikiano.
  2. Utaalamu.
  3. Kuangazia matokeo.
  4. Uwazi.
  5. Uwajibikaji.
  6. Uaminifu.
  7. Umakini kwa mteja.
  8. Usawa.